Kings Music Records

Kings Music
Imeanzishwa 2017
Mwanzilishi AliKiba
Usambazaji wa studio "KingKiba"
Aina za muziki Bongo Flava
Nchi Tanzania
Mahala Dar es salaam,Tanzania

Kings Music[1] ni lebo iliyoanzishwa na mwimbaji AliKiba mwanzoni mwa Desemba 2017. Studio hiyo yenye makao yake nchini Tanzania, kabla ya kufunguliwa studio hiyo ya Kings Music ilifanyiwa tangazo maalum na mwanzilishi na wasanii watakaokuwa kwenye lebo hiyo.

  1. "Kings Music - Ali Kiba kuanzisha lebo yake". Ishi Kista.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-12-05. Iliwekwa mnamo 2017. {{cite web}}: Check date values in: |accessdate= (help)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne