Kingul (lugha)

Kingul ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wangul. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kingul imehesabiwa kuwa watu 8400. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kingul iko katika kundi la B60.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne