Kingwe ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wangwe. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kingwe imehesabiwa kuwa watu 73,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingwe iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.