Kinimo

Kinimo ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wanimo. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kinimo imehesabiwa kuwa watu 350. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinimo iko katika kundi la Kiarai.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne