Kinyabwa

Kinyabwa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wanyabwa. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kinyabwa ilihesabiwa kuwa watu 42,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha wa ndani zaidi, Kinyabwa iko katika kundi la Kikru.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne