Kinyengo ni lugha ya Kibantu nchini Angola inayozungumzwa na Wanyengo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kinyengo imehesabiwa kuwa watu 9380. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinyengo iko katika kundi la K20.
Developed by Nelliwinne