Kinyungwe

Kinyungwe ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Wanyungwe. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kinyungwe imehesabiwa kuwa watu 439,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinyungwe iko katika kundi la N40.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne