ni nafasi ya kuingiza hewa mwilini hivyo pamoja na pua ni chanzo cha mfumo wa upumuo
ni mahali pa kutokea kwa sauti ambako sauti inayotengenezwa kooni inapokea umbo lake kwa msaada wa ulimi na midomo hivyo ni sehemu muhimu ya uwezo wetu wa kuwasiliana na wengine.
Kinapatikana kwa karibu wanyama wote wenye seli nyingi lakini kwa wanyama sahili kazi yake ni kuingiza chakula pekee.
Sehemu za kinywa cha binadamu ni pamoja na: meno, ulimi na fizi.