Kiokpe ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waokpe. Ni tofauti na lugha ya Kiokpe ambayo pia huzungumzwa nchini Nigeria. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiokpe imehesabiwa kuwa watu 25,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiokpe iko katika kundi la Kiedoidi.