Kioku

Kioku ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Waoku. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kioku imehesabiwa kuwa watu 40,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kioku iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne