Kiorokaiva

Kiorokaiva ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waorokaiva. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiorokaiva imehesabiwa kuwa watu 35,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiorokaiva iko katika kundi la Kibinanderean.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne