Kiotoro

Kiotoro ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan inayozungumzwa na Waotoro. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiotoro imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiotoro iko katika kundi la Kikordofani.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne