Kipaasaal

Kipaasaal ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wapaasaal. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kipaasaal imehesabiwa kuwa watu 36,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipaasaal iko katika kundi la Kigur.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne