Kipagi

Kipagi ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wapagi. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kipagi imehesabiwa kuwa watu 2140. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipagi iko katika kundi la Kibewani.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne