Kipangwa

Kipangwa ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wapangwa. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kipangwa ilikuwa watu 95,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kipangwa iko katika kundi la G60.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne