Kipenan cha Bah-Biau

Kipenan ya Bah-Biau (au Kipunan) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wapenan. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kipenan ya Bah-Biau imehesabiwa kuwa watu 450 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipenan ya Bah-Biau iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne