Kiqaqet ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waqaqet. Mwaka wa 1988 idadi ya wasemaji wa Kiqaqet imehesabiwa kuwa watu 6350. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiqaqet iko katika kundi la “East New Britain”.
Developed by Nelliwinne