Kiranglong

Kiranglong ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Waranglong. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kiranglong imehesabiwa kuwa watu 8000. Uainishaji wa lugha ya Kiranglong kwa ndani zaidi haujulikani.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne