Kirombo

Kirombo ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Warombo, jamii ya Wachagga. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kirombo kiko katika kundi la E60.

Idadi ya wasemaji wa Kirombo imehesabiwa mwaka 2009 kuwa watu 202,000[1].

  1. https://www.ethnologue.com/language/rof/

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne