Kirungwa ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Warungwa. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kirungwa imehesabiwa kuwa watu 18,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kirungwa iko katika kundi la M10.
Developed by Nelliwinne