Kisaliba ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wasaliba. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kisaliba imehesabiwa kuwa watu 2500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisaliba iko katika kundi la Kioseaniki.