Kisamburu ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Kenya inayozungumzwa na Wasamburu. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kisamburu imehesabiwa kuwa watu 237,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisamburu iko katika kundi la Kinilotiki.
Developed by Nelliwinne