Kisamvedi (au Kikadodi) ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakupari. Idadi ya wasemaji wa Kisamvedi haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisamvedi iko katika kundi la Kiaryan.
Developed by Nelliwinne