Kisardinia

Kisardinia (kwa lugha yenyewe: Sardu au Limba sarda; kwa Kiitalia: Lingua sarda) ni mojawapo ya lugha za Kirumi, jamii ya lugha za Kihindi-Kiulaya.

Kinatumiwa na wasemaji 1,000,000 hivi katika kisiwa cha Sardinia, nchini Italia.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne