Kisarua ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Wasarua. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kisarua imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisarua iko katika kundi la Kichadiki.
Developed by Nelliwinne