Kisekar

Kisekar ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasekar kwenye kisiwa cha Bomberai. Mwaka wa 1977 idadi ya wasemaji wa Kisekar imehesabiwa kuwa watu 450 tu, maana yake lugha iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisekar iko katika kundi la Kibomberai-Kaskazini.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne