Kisenoufo-Cebaara

Kisenoufo-Cebaara ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wasenufo. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kisenoufo-Cebaara imehesabiwa kuwa watu 862,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisenoufo-Cebaara iko katika kundi la Kigur.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne