Kisiwa cha Bihila

Kisiwa cha Bihila ni kati ya visiwa vya mkoa wa Mwanza, kaskazini mwa Tanzania, ambacho kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa wa eneo.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne