Kisiwa cha Bubembe ni kati ya visiwa vya Uganda kusini (Mkoa wa Kati, Wilaya ya Kalangala).
Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.
Developed by Nelliwinne