Kisiwa cha Funve

Kisiwa cha Funve ni kati ya visiwa vya Uganda kusini (Mkoa wa Kati, Wilaya ya Kalangala).

Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne