Kisiwa cha Jina

Kisiwa cha Jina ni kisiwa kimojawapo cha mkoa wa Pwani, nchini Tanzania, ambacho kinapatikana katika Bahari ya Hindi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne