Kisiwa cha Kireta

Kisiwa cha Kireta ni kati ya visiwa vya Wilaya ya Ukerewe, mkoa wa Mwanza, kaskazini mwa Tanzania.

Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne