Kisiwa cha Kojani

Kisiwa cha Kojani ni kati ya visiwa vya mkoa wa Pemba Kaskazini, Zanzibar, nchini Tanzania, ambacho kinapatikana katika Bahari ya Hindi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne