Kisiwa cha Ngowa

Kisiwa cha Ngowa ni kati ya visiwa vya kaunti ya Kwale, kusini mwa Kenya.

Kinapatikana katika Bahari ya Hindi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne