8°16′40″S 39°35′36″E / 8.27778°S 39.59333°E
Okuza (pia: Kuza) ni kisiwa kidogo cha mkoa wa Pwani, nchini Tanzania, ambacho kinapatikana katika Bahari ya Hindi. Kipo mbele ya mdomo wa mto Muhoro, upande wa kusini wa kisiwa cha Mafia.
Okuza ina urefu wa takriban kilomita 1 na upana wa mita 100 - 200. Hakuna wakazi.