Kisiwa cha Pungume

Kisiwa cha Pungume ni kati ya visiwa vya mkoa wa Unguja Kusini, Zanzibar, nchini Tanzania, ambacho kinapatikana katika Bahari ya Hindi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne