Kisiwa cha Juani ni kisiwa kimojawapo cha Wilaya ya Mafia, mkoa wa Pwani, nchini Tanzania, ambacho kinapatikana katika Bahari ya Hindi.
Humo yanapatikana magofu ya Kua.
Developed by Nelliwinne