Kisorsoganon-Kusini

Kisorsoganon-Kusini (au Kiwaray) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wasorsoganon. Mwaka wa 1975 idadi ya wasemaji wa Kisorsoganon-Kusini imehesabiwa kuwa watu 85,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisorsoganon-Kusini iko katika kundi la Kifilipino.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne