Kisowanda

Kisowanda ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya na Indonesia inayozungumzwa na Wasowanda. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisowanda nchini Papua Guinea Mpya imehesabiwa kuwa watu 970. Pia kuna watu 210 nchini Indonesia (2002). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisowanda iko katika kundi la Kiwaris.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne