Kisuabo

Kisuabo ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasuabo. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kisuabo imehesabiwa kuwa watu 1100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisuabo iko katika kundi la “South Bird's Head”.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne