Kiunzi cha mifupa cha Ichthyosauria (sauri ya bahari) kilichopatikana Ujerumani kusini aliyeishi takriban miaka milioni 200 - 100 iliyopitaTrilobiti walikuwa viumbe vya miaka milioni 444 iliyopita. Mti uliokuwa jiweArcheopteryx ni ndege wa kwanza anayejulikana kutokana na visukuku akifanana bado na reptilia lakini anaonyesha manyoa tayari
Mabaki yanapatikana kwa umbo tofautitofauti, hasa kama:
visukuku vya kijiwe vinavyoweza kutupa picha ya viumbehai vya nyakati zilizopita, na visukuku vya makaa na mafuta ambavyo ni chanzo muhimu cha nishati.