Kisunda ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasunda kwenye kisiwa cha Java. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Ki imehesabiwa kuwa watu milioni 34. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisunda iko katika kundi lake lenyewe la Kisunda.