Kitambas ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Watambas. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kitambas imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitambas iko katika kundi la Kichadiki.
Developed by Nelliwinne