Kitefaro

Kitefaro ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Watefaro. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kitefaro imehesabiwa kuwa watu 100. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitefaro iko katika kundi la “East Geelvink Bay”.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne