Kiteiwa ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wateiwa. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kiteiwa imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiteiwa iko katika kundi la Kipantar.
Developed by Nelliwinne