Kitemuan

Kitemuan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Watemuan. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kitemuan imehesabiwa kuwa watu 22,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitemuan iko katika kundi la Kimalayiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne