Kitenzi

Mifano
  • Anacheza muziki
  • Wanaenda kazini
  • Unaimba wimbo wa taifa
  • Ninasema Kifaransa

Kitenzi ni istilahi ya sarufi kwa maneno yanayotaja matendo kama vile kufanya, kwenda, kulala, kupiga, kuishi na kadhalika.

Lugha nyingi zinatumia vitenzi ingawa kuna pia lugha zisizoweka tofauti kati ya vitenzi na majina.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne