Kithawa

Kithawa kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wathawa katika jimbo la New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kithawa, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kithawa kiko katika kundi la Kiyuin.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne