Kitiefo

Kitiefo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso inayozungumzwa na Watiefo. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kitiefo imehesabiwa kuwa watu 1000 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitiefo iko katika kundi la Kigur.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne