Kititan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Watitan. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kititan imehesabiwa kuwa watu 3850. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kititan iko katika kundi la Kioseaniki.
Developed by Nelliwinne